Acts 17:3

3 a bakidhihirisha wazi na kuthibitisha kwamba ilikuwa lazima Al-Masihi
Al-Masihi maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.
ateswe na afufuke kutoka kwa wafu. Akasema, “Huyu Isa ninayewaambia habari zake, ndiye Al-Masihi.”
Copyright information for SwhKC